Angalia picha zifuatazo zikusaidie kuongeza utumiaji wa mboga-mboga.  Jitengenezee bustani popote ili utumie mbogamboga kwa wingi kila siku.

Jipende….

inatumia maji kidogo na eneo dogo.. furahia mbogamboga kila siku.

 

 

Matumizi kidogo ya maji, na hata bila ardhi inawezekana.

 

 

Matumizi kidogo ya maji, kama unafuga kuku, hawawezi kufikia.

Jipende……

matumizi ya maji ni kidogo

Furahia mbogamboga

 

 

 

del.icio.us Digg Facebook Google Twitter Mail to a friend Thank you for sharing!