Hata tukiambiwa “kula chakula kupita kiasi kulisababisha kifo cha fulani”, hatuamini, au tukiamini, bado tunaendelea “kukupenda” na kula kupita kiasi! Sasa tutakutafutia mikakati!
Chakula ni kitu chochote kinacholiwa na kuupa mwili virutubishi. Nadhani kila mtu anapenda chakula, na kweli chakula ni kitu kizuri, tena huburudisha. Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nilikuwa naongea na kijana mdogo, mwenye umri kama miaka 18, tukazungumzia chakula.
Tagged as: cancer prevention • chakula • food • kunde • legumes • lishe • maharage • Mazoezi ya mwili • mboga-mboga • Nutrition • Nyama zilizosindikwa • over-weight • Processed meat • sausage • soseji • uzito • vegetables • whole grains