Baada ya tafiti nyingi kufanyika na kuangalia kwa umakini mambo ambayo yamethibitishwa kuwa na uhusiano mkubwa na saratani kwa upande wa chakula, lishe na mazoezi ya mwili, ushauri umetolewa na wataalamu wanaofuatilia maswala hayo kwa makini. Ushauri umelenga maeneo kumi muhimu (World Cancer Research Fund-report 2007):
Tagged as: Breastfeeding • cancer • cancer prevention • Chumvi • Exercise • Infant feeding • legumes • lishe • Matunda • Maziwa ya mama • Mazoezi ya mwili • mboga-mboga • Nutrition • nyama • Nyama nyekundu • Nyama zilizosindikwa • over-weight • pombe • Processed meat • Red meat • Salt • saratani • sausage • supplements • virutubishi vya nyongeza • whole grains • zuia saratani