Kutokana na tafiti nyingi zilizofanyika, wataalamu wameona kwamba kitendo cha mama kumnyonyesha mtoto kwa matiti yake huchangia katika kupunguza uwezekano wa mama kupata saratani (cancer) ya matiti. (World Cancer Research Fund; http://www.wcrf.org/). Imeonekana kwamba sasa kuna uthibitisho mkubwa kuhusu jambo hili.
All Right Reserved, Copyright © 2009 Jipende.com






