Baadhi ya vyakula vya asili hata majina ya Kiswahili hatuyajui, au niseme mimi siyajui.  Viazi vikuu ni baadhi ya vyakula ambavyo wengi wameacha kabisa kuvitumi, na pengine vijana wengi na watoto hawajaviona kabisa.  Kiazi kimojawapo, jamii ya viazi vikuu, ambacho mimi sijui jina lake la Kiswahili ni hiki kwenye picha hii:

Mamaya/Nduu/Vibere

Mkoani Kilimanjaro wapo wanaokiita “Nduu”. Na wengine hukiita “Mamaya”, yapo makabila Tanzania wanayoviita “Vibere”

Kiazi hiki huzaa viazi kwenye matawi yake ambayo hutambaa juu ya mti na pia huzaa viazi katika mizizi yake.  Vyote vina ladha nzuri.

(more…)

del.icio.us Digg Facebook Google Twitter Mail to a friend Thank you for sharing!