Naamini wengi wetu tunaponunua mkate wa “brown” tunalenga kununua mkate ambao umetengenezwa kutokana na ngano ambayo haijakobolewa sana (whole wheat). Kwa bahati mbaya sana baadhi ya watengeneza mikate hapa kwetu Tanzania, hutengeneza mikate hiyokwa kuongeza rangi ya brown tu na sio ngano isiyokobolewa sana. kwa maneno mengine ni kwamba mkate huu hauna tofauti na ule mweupe isipokuwa rangi ya brown iliyoongezwa.
Tagged as: Mkate






